<p>Kwa sababu changamoto nyingi za misitu yetu zinatokana na kukosekana kwa uwajibikaji , usimamizi mbovu wa sera na sheria , rushwa na ufinyu wa bajeti , WANAMJUMITA kwa kipindi kati ya mwezi wa 5 na mwezi wa 6 mwaka 2015 wamekutana na kutafakari ni kwa namna gani changamoto hizi za misitu zinaweza kutatuliwa kuptia fursa ya uchaguzi mwaka 2015</p>