Msaada Jinsi Ya Kutumia Tovuti

Karibu kwenye ukurasa wa kukusaidia wewe mtumiaji wa mtandao huu. Tutakuwa tukiendeleza nyenzo hii kadri tunavyopata maswali kutoka kwa watumiaji.

Je, unamaswali kuhusu yaliyomo kwenye tovuti ya Policy Forum au jinsi ya kutumia lango? Hapa chini ni maswali yanayo ulizwa mara kwa mara kutoka kwa watumiaji wa tovuti yetu: 

1.Ni jinsi gani naweza kuingia kwenye tovuti kama mtumiaji?

Kuingia, kwanza inabidi ujisajiri kama mtumiaji wa tovuti hii. Mara nyingi, mkuu wa tovuti hii uongeza watumiaji na kuwatumia jina na namba au neno la siri ambalo anaweza kulitumia kuingia kwenye tovuti. Vinginevyo, angalia fomu ndogo inaitwa “User login” katika ukurasa mkuu wa tovuti hii (kulia mwa ukurasa). Bonyeza kiunganishi kinacho sema "Create new account".

Kujiunga, chagua na ingiza jina lako na anwani ya barua pepe unayo tumia na bonyeza "submit". Halafu angalia akaunti yako ya barua pepe. Ndani ya dakika chache utapata barua pepe inayo thibitisha kujiunga kwako na itakupa namba au neno la siri tayari kwa kuingia na kutumia. 

2. Jinsi gani naweza kubadilisha namba au neno langu la siri?

Unaweza kubadilisha mpangilio wako wa akaunti kwa kuingia kwenye mtandao na halafu bonyeza ''my account'' kwenye boksi la mwongozo(boksi ambalo lina jina lako). Bonyeza kinembo cha 'edit'. Kisha utaona sehemu mbili za namba au neno lako la siri. Ingiza namba au neno lako jipya la siri sehemu zote mbili. Tafadhari, hakikisha unakumbuka namba au neno lako la siri ulilobadilisha. 

3. Nifanyeje ikiwa nimesahau namba au neno langu la siri?

Bonyeza kiunganishi "sign in" kutoka katika ukurasa wa mtandao. kisha chagua kinembo cha "request new password" katika ukurasa wa kuingilia. Katika ukurasa wa "request new password", ingiza anwani ya barua pepe uliyotumia wakati wa kujiunga na bonyeza kitufe cha "e-mail new password''. Barua pepe yenye jina na namba au neno la siri itatumwa kwenye anwani yako ya barua pepe uliyotumia.

4. Nawezaje kupekua yaliyomo kwenye mtandao wa PF?

Utaona boksi la kuingia kupekua na kitufe chenye kitambulisho "Search" juu ya ukurusa wa mtandao. Kama ilivyo mara nyingi kwa mitandao, ingiza neno au maneno unayotaka kupekua na kisha bonyeza kitufe ''Search''. Kama una neno au maneno ambayo huna uwakika nayo kwaajiri ya kupekua, andika helufi au sirabi mbili au tatu za mwanzo kisha weka nyota, mfano hujui kama ni 'Semkae au Semwaka' andika -sem*- na utapata majibu yote ya maneno yanayo anza na 'sem'. Kwa neno au maneno uliyo shindwa kabisa unaweza kupekua kwa kuandika herufi A, B, C au D na utapata neno au maneno yote yanayo anza na herufi hizo. Na ni lazima uingize helufi moja kwanza, ukurasa hauwezi kuruhusu upekue kwa kuingiza helufi zaidi ya moja kwa wakati mmoja, e.g A na B. Injini ya kupekulia inatoa nafasi kubwa kwa maneno ambayo yametumika kama kichwa cha habari au yaliyo sisitizwa.

5. Nawezaje Kujifuta kutoka huduma za barua pepe za Policy Forum?

 Kujifuta kutoka katika orodha ya huduma zote au baadhi za tovuti ya Policy Forum, andika barua pepe kwa mkuu wa tovuti kupitia: <info@policyforum.or.tz> au tumia fomu ya mawasiliano katika tovuti:http://www.policyforum-tz.org/contact

6. Naweza kuwasiliana na nani kama nahitaji msaada zaidi kuhusu tovuti hii?

Tafadhali wasiliana na Semkae Kilonzo au Nuru Ngailo kwa namba hii 0782317434

Intro Message

Welcome to the website of PF. This website provides a wealth of info

Lock

rer

Login Introduction

Access the member area by login now. If you are a member, but do not have an web account with us,contact us.

Newsletter

Policy forum maintains two newsletter. One is for the general public, while the other is for members only.

English

"English" button will lead you to the English site

Web Technologies

This website used different web technologies.

Swahili

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter