<p>Fahamu , Ongea , Sikilizwa 11 ni mradi wenye lengo kuu la kuchangia katika kuleta usawa na uwazi katika uchaguzi mkuu 2015 ili wananchi waliopo pembezoni hususan wananwake na vijana washiriki kikamulifu kama wapiga kura , wagombea , na watazamaji / wafuatiliaji wa uchaguzi .</p>