BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/15 TOLEO LA BAJETI YA WANANCHI

Categories

Kijitabu cha Bajeti ya Serikali toleo la mwananchi kinatolewa kuboresha upatikanaji wa taarifa za kibajeti kwa lengo la kuongeza uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa fedha za umma. Kinaelezea bajeti ya Serikali kwa lugha rahisi, ikitoa dondoo za mambo muhimu kwenye bajeti na kuifanya kuwa rahisi kwa mtu wa kawaida kuielewa. Sera na mipango iliyomo katika bajeti ya Serikali huathiri maisha ya wananchi kwa namna tofaut itofauti, hivyo ni muhimu kwao kuitafakari kikamilifu maana yake.

Kusoma kijitabu hiki bofya hapa.

 

Marejeo ya Mkukuta

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter