Ripoti ya ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (SAM) (Halmashauri ya Wilaya ya Iramba , Singida).

Publication Type:

Report

Authors:

Sikika

Source:

Sikika (2013)

Abstract:

<p>Katika Wilaya ya Iramba Sikika ilianza kukutana na Baraza la Madiwani wa wilaya ya Iramba tarehe 25 Oktoba , 2012. Nia ikiwa kuitambulisha sikika ( maana shitika hilo ndipo lilikuwa linaanza kutekeleza shughuli zake wilayani humo) na kuwajulisha wheshimiwa azma yao ya kufanya uwajibikaji jamii pamoja na wanachiwa wilaya ya Iramba. Vile wile , tarehe Oktoba , 2012 Sikika ilifanya mkutano wa wadau wa sekta ya afya ikiwa na lengo la kuwatambulisha kazi za shirika na lengo lake la kutekeleza mchakato wa uwajibikiaji jamii pamoja na wanajamii katika sekta ya afya ndani ya wilaya Iramba</p>

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter