Mwongozo wa Msingi ya Biashara na Haki za Binadamu

Publication Type:

Book

Authors:

LHRC

Source:

LHRC (2015)

Abstract:

<p>Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu lilidhinisha mwongozo mpya kuhusu uhusiano kati ya biashara na haki za binadamu mnamo mwaka 2011. Mwongozo ambao kw amara ya kwanza uliweka misingiya kimataifa ya kukabiliana na athari mbaya zinazotokana na shughuli za biashara kwenye haki za binadamu</p>

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter