Maswali na majibu yanayohusu migogoro ya ardhi nchini tanzania

Publication Type:

Book

Source:

HAKIARDHI (2011)

Abstract:

<p>Migogoro ya ardhi nchini Tanzania imejitokeza katika jamii nyingi na kwa viwango mbalimbali. Migogoro hii imeendelea kukua kwa kiasi kati ya makundi mbalimbali ya watumiaji wa ardhi huku ikisababisha athari nyingi na mbaya miongoni mwa wanajamii. hivyo imekuwepo jaja na msukumo wa kijamii wa kukubaliana na migogoro ya ardhi kila inapotolea lwa lengo la kuepusha ama kudhibiti utokeaji na athari zake.</p>

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter