Ilani ya uchaguzi ya mtandano wa wanawake na katiba na uchaguzi

Publication Type:

Book

Authors:

TGNP

Source:

(2015)

Abstract:

<p>Lengo kuu la ilani hii ni kutoa sauti za pamoja za wanawake na makundi mbalimbali yanayotetea haki za wanawake na watoto wa kike kuhusu ushiriki kamilifu wa wanawake katika machakato mzima wa uchaguzi na kuhakikisha agenda yao inapewa kipaumbele katika mipango ya serikali inayopewa ridhaa ya kuongoza nchi</p>

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter