Ijue katiba inayopendekezwa : Ipe uhai kura yako ya uamuzi kwa mustakabali w ataifa

Publication Type:

Book

Source:

Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (2015)

Abstract:

<p>Katiba ni sheria ya msingi , iliyoandikwa au isiyoandikwa , ambayo inaweka mfumo wa taifa kwa kuainisha misingi ya taifa ambayo jamii italazimika kuifuata , mgawanyo wa madaraka na majukumu mihimili mikuu ya dola , kwa kuainisha muundo wa serikali , bunge na mahakama , usimamizi wake mgawanyo na ukomo wa mamlaka ya vyombo mbalimbali vya dola , na kwa kuainisha namna na taratibu za utekelezaji wa mamlaka ya vyombo hivyo.</p>

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter