Budget Working Group

PREAMBLE: We, the members of the Tanzania Tax Justice Coalition (TTJC), a Civil Society Coalition advocating for fairness in taxation, having done a series of review sessions and consultations on Domestic Resource Mobilization (DRM) in relation to the National budget during the COVID-19 pandemic,  have considered the proposals presented in March 2020 by the Minister of Finance and...
Budget Working Group 2018 Annual Plan. Click here
 Sekta ya nishati inakabiliwa na changamoto mbalimbali hapa nchini ikiwemo: upungufu wa fedha za kutosha, ushiriki na uwekezaji mdogo wa sekta binafsi katika miradi mikubwa ya nishati; utegemezi mkubwa sana kwa tungamotaka kama chanzo cha nishati; gharama kubwa za tozo za uunganishaji na usambazaji wa umeme; upungufu wa wataalam na tafiti; uwepo na matumizi ya teknolojia miundombinu duni; na...
Kilimo, Mifugo na Uvuvi ni sekta muhimu sana kwa uchumi na maendeleo ya nchi na Watanzaniakiujumla. Sekta hizi zimeendelea kuwa chanzo kikubwa cha kipato kwa zaidi ya asilimia 65 yaWatanzania na nguzo muhimu katika kuhakikisha usalama wa chakula, na zinachangia pato la taifakwa zaidi ya asilimia 29 na kwa mauzo ya nje zinachangia kwa zaidi ya asilimia 24.Japo sekta hizi ni muhimu ila zinakabiliwa...
Tanzania (mafuta na gesi asilia): alama za RGI navipengele vya upimajiSekta ya Mafuta na Gesi asilia ina alama 53 kati ya alama 100 za RGI 2017. Tofauti na sekta ya madini ambayo ni kongwe, Tanzania bado haijaanza uzalishaji mkubwa wa gesi baada ya ugunduzi wa gesi nyingi katika kina kirefucha bahari ya Hindi  ambayo hivi sasa inakadiriwa kuwa futi za ujazo trilioni 57. Hali ya kuridhisha ya...
Serikali inalo jukumu kubwa la kuwahakikishia na kuwapatia watu wake huduma na bidhaa za umma. Hizi ni pamoja na afya, elimu, maji, miundombinu, ulinzi na usalama na kadhalika. Huduma na bidhaa hizi ni muhimu sana ili wananchi waweze kustawi na kuondokana na matatizo kama vile umaskini, ujinga na maradhi.Huduma na bidhaa za umma hugharimu rasilimali nyingi zikiwemo fedha. Fedha hizi ni za kutoka...
Hili ni toleo lingine la  Bajeti Toleo la Wananchi ambalo linaelezea Bajeti ya Serikali kwa mwaka  wa  fedha  2015/16  kwa  lugha rahisi  inayoeleweka  kwa wananchi.Bajeti  ya  Serikali ina maana ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka (ikiwa ni  pamoja  na  fedha za  ruzuku zinazopelekwa  kwenye ...
  This  is  another  edition  of  Citizens’ Budget  which explains the  Government  budget  for year 2015/16  in a simplified way.  The  term  Government  budget  means the  annual estimates  of  the  revenues, other  receipts  and  the expenditures  of  the...
The Citizen’s Budget document is issued to improve citizen’s access to budgetary informationwith the objective of promoting accountability and transparency in public finance management.It presents the Government budget in a simple language, highlighting its important features andmaking it easy for a common person to understand and grasp the budget. The policies andprogrammes reflected...
To read the Budget Bill, 2014, click 1 and 2

Pages

Social Media

We are on Facebook!


drupal hit counter