Bodi Ya Wakurugenzi

Bodi ya Wakurugenzi ya Policy Forum inatokana na wanachama wa Policy Forum. Wajumbe wa Bodi huchaguliwa na wanachama kila baada ya miaka miwili. Vikao vya Bodi huitishwa kila baada ya miezi mitatu.

 • Wajumbe Wapya wa Bodi

  1. Masud Hossain- Mwenyekiti (KEPA)

  2. Semkae Kilonzo- Katibu (Policy Forum)

  3. Josephat Mshigati- Mjumbe (ActionAid-Tanzania)

  4. Hebron Mwakagenda- Mjumbe (The Leadership Forum)

  5. Nemence Iriya- Mjumbe (Manyara Region Civil Society Organizations Network (MACSNET)

  6. Donati Senzia- Mjumbe (PELUM-Tanzania)

  7. Charles Meshack- Mjumbe (Tanzania Forest Conservation Group (TFCG)

  8. Dk. Aichi Joseph Kitalyi- Mjumbe (Chama cha Wanawake Viongozi katika Kilimo, Mazingira na Maliasili (TAWLAE)

   

   

   
Swahili